
VIJANA NA MAPENZI PODCAST: Dalili za mapenzi kuanza kwenda mrama
Ali ๐
12 min
Kids
Description
Katika awamu hii ya pili ya kipindi cha Vijana na Mapenzi, tunaangazia ishara mbalimbali ambazo zinaweza kusaidia kutambua iwapo uhusiano wa kimapenzi hauendi popote na ni wakati wa kutengana. Wananchi wametoa kauli zao kuihusu mada hii huku washauri, Alex Munyere na Rachael Mahungu Mboya wakitoa ushauri kuhusu mada hii. Mtayarishi ni Beatrice Maganga.
Uploader
Episodes
1
VIJANA NA MAPENZI PODCAST: Dalili za mapenzi kuanza kwenda mrama
Ali ๐