Ulimwengu Wa Mkristo Majanga
Ulimwengu Wa Mkristo Majanga

Ulimwengu Wa Mkristo Majanga

aïchou Malika

29 min
Kids
Play

Description

<p>Ulimwengu wa Mkristo ni kipindi ambacho kinakuletea mkusanyiko wa mambo tofauti hususani habari na matukio yanayojiri katika ulimwengu huu na kuligusa moja kwa moja Kanisa la Yesu Kristo. Katika kufuatilia kipindi hiki, utapata kuyafahamu mambo mengi yanayojiri na pengine kukupa neema ya kujiimarisha kiroho wakati Kanisa likipita katika vipindi tofauti na vigumu, hususani kipindi hiki cha nyakati za siku za mwisho.</p>

Uploader

FinnRiver

FinnRiver

Ulimwengu Wa Mkristo Majanga - Listen Free | WowFM