
Mambo Matano (05) Ya Kufanya Ili Ujenge Nidhamu Ya Fedha Kwenye Maisha Yako.
Chancelvie Djemissi
16 min•349 plays
Kids
Description
Safari ya kuelekea uhuru wa kifedha unahitaji kuwa na msingi wa nidhamu fedha; Je unataka kuwa na nidhamu ya fedha Ili uongeze kiwango cha kufanikiwa kwa maana ya mafanikio ya eneo la fedha. Sikiliza kisha fanyia kazi ambayo utapata kwenye episode hii utaona matokeo baada ya muda kwenye maisha yako. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
Uploader
Episodes
1
Mambo Matano (05) Ya Kufanya Ili Ujenge Nidhamu Ya Fedha Kwenye Maisha Yako.
Chancelvie Djemissi