
Je, maeneo ya kuabudu ndiyo bora kutafutia wachumba?
Ali ๐
9 minโข349 plays
Kids
Description
Ili kumpata mtu wa kuoa, ni lazima mpatane mahali. Kuna wale ambao hupatana vilabuni, mitandaoni, vyuoni na kadhalika. Hata hivyo kuna wale ambao huelekeza juhudi za kuwatafuta wachumba katika maeneo ya kuabudu. Tumewashirikisha vijana vilevile washauri ili kupata kauli zao kuhusu suala hili. Je, maeneo ya kuabudu ndiyo bora ya kuwatafutia wachumba?
Uploader
Episodes
1
Je, maeneo ya kuabudu ndiyo bora kutafutia wachumba?
Ali ๐