
ISHI KAMA KINYONGA....!
Chancelvie Djemissi
10 min•174 play
Kids
Paglalarawan
Unajiuliza uishi kama kinyonga ni kwa namna gani si ndiyo? Ni kwamba unahitaji kuwa makini na kuishi kwa tahadhari kama kinyonga na watu wanakuzunguka hasa watu wa karibu yako. Hata wahenga wanasema “Adui hatoki mbali” Sikiliza dakika 9 zenye kukupa mwanga na mabadiliko kwenye Maisha yako. Ushindwe wewe tu rafiki. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
Uploader
Mga Episode
1
ISHI KAMA KINYONGA....!
Chancelvie Djemissi